ABOUT US

LEARN EGLISH LANGUAGE ni mtandao ambao unafundisha lugha ya kiingereza kwa kutumia lugha ya kiswahili,kiswahili kinatumika kutafsiri na kuelezea zaidi ili kusaidia mwanafunzi kuelewa vizuri.

  •  Kupitia mtandao wa LEARN ENGLISH LANGUAGE utajifunza mbinu mbalimbali namna gani unaweza kujifunza lugha ya kiingereza. 
  • Kila siku utajifunza somo moja kuwa kutumia mifano na ufafanuzi ili upate kuelewa somo.
  • Pia utapewa maswali ya kujipima mwenyewe ili kujua kama unaelewa unachojifunza.
  • Kila siku utajifunza misamiati mipya,namna ya kutamka na maana yake,hii itasaidia kujua maneno mengi ya kiingereza na kuongeza maarifa zaidi kwa sababu kila unapojifunza kitu kipya unaongeza maarifa zaidi
  • Ili uweze kuendelea kujifunza lugha lugha ya kiingereza kwa kupokea ujumbe toka kwetu jiunge sasa na mtandao wa LEARN ENGLISH LANGUAGE ili kujifunza zaidi.
KARIBU TUJIFUNZE LUGHA YA KIINGEREZA ITAKAYOSAIDIA KUTIMIZA NDOTO KUBWA ZA MAISHA YAKO NA KUKUONGEZA MAARIFA ZAIDI.
Welcome!

0 comments:

Post a Comment