Msingi wa Sita Katika Kujifunza Kuongea Lugha ya Kiingereza
Karibu katika somo letu la leo msomaji wa mtandao wa Learn English Language.Kama tulivyojifunza huko nyuma Kuna misingi mbalimbali ya kujifunza kuongea lugha ya kiingereza na Leo tutajifunza msingi huu ambao huwa unatumika Sana katika maisha yetu ya Kila siku.
I have :hutumika kumjulisha mtu mwingine Kitu ulichonacho au unachomiliki au ulichopata.
I have :By using these words you are informing someone else what you have or what you possess.
Example:
I have a book :Mimi nina kitabu
I have a nice car 🚗 : Mimi Nina gari nzuri.
I have a nice garden : Mimi Nina bustani nzuri.
I have a son : Mimi Nina Mtoto wa kiume
I have a daughter : Mimi Nina Mtoto wa kike
I have a husband : Mimi Nina mme
I have a wife : Mimi nina mke
Misamiati ya Leo : Today's Vocabularies
accomplished : Yametimia
accomplishes : Kutimiza
accomplishig : Kukamilisha
accomplishment : Mafanikio
Asante msomaji kwa kujumuika nami katika kujifunza msingi wa sita wa kujifunza namna ya kuongea kiingereza.Ambapo tumejifunza matumizi ya neno have lenye maana ya umiliki wa Kitu chochote ulichokuwa nacho.Endelea kujifunza mengi Zaidi kwa kujiunga na mtandao wa Learn English Language kwa kujaza taarifa zako hapo chini,ili uwe unapokea mafunzo haya moja kwa moja kwenye email yako.karibu tujifunze pamoja.
Your Tutor
Jenicia John
jeniciaj55@gmail.com