Jifunze Viwakilishi Saidizi (Relative Pronoun)










Msomaji wa mtandao wa LEARN ENGLISH LANGUAGE  karibu katika somo la leo ambapo tutajifunza kuhusu Viwakilishi Saidizi(Relative
Pronouns).Viwakilishi saidizi ni maneno ambayo hutumika kuunganisha sentensi nbili tofauti,maneno Haya yanaweza kutumika mwanzoni mwa sentensi na yanaweza kutumika katikati ya sentensi.Yakitumika mwanzoni mwa sentensi yanatumika kama subject na yakitumika katikati ya sentensi ni object.
Maneno hayo in who,whom,which,that,those,whose, na what .

1. WHO : Inatumika kuwakilisha watu,inatumika kamakisaidizi cha kitenzi katika sentensi.
WHO : It is used for people, used as a subject of the verb in the sentence.

Example :Mfano

Join the following sentences by using relative pronoun Who.

a. Mwalimu alieandika kitabu hiki.Amehamishiwa Musoma
    The teacher wrote this book.He has been transferred to Musoma.

     Mwalimu ambaye aliandika kitabu hiki amehamishiwa Musoma.
     The teacher who wrote this book has been transferred to Musoma.

Note:Kumbuka nini maana ya Relative Pronouns ni viwakilishi saidizi vya kitenzi.Chunguza hizo sentensi hapo juu,pale ambapo neno WHO limetumika kama kisaidizi cha kitenzi kikuu katika sentensi ya kwanza.

b. The boy went there yesterday. He is my brother.
     Mvulana aliyeenda pale jana.In kaka yangu.

     The boy  who went there yesterday is my brother.
      Mvulana ambaye alienda pale Jana ni kaka yangu.

Test yourself: Make five sentences by using relative pronoun WHO
Tunga sentensi tano kwa kutumia kiwakilishi saidizi WHO.

2. WHICH : It is used for things.It is used for both as subject and object.
      WHICH : hutumika kwa vitu tu.hutumika mwanzon na katikati ya sentensi
      WHICH means ambacho.

Mfano

a. The car which I bought is new.
     Gari ambayo nilinunua ni new.

b. The shop which is stolen is mine.
    Duka ambalo limeibiwa ni langu.

Test : Tengeneza sentensi tano kwa kutumia neno Which

3. THAT :It used for both people and things -  Hii hutumika kwa watu na vitu.
 That means kile,ile,ambacho  hiiinategemea na lilivotumika katika sentensi

Mfano:
a. That is my diary -Ile ni diary yangu
b. The book that I bought yesterday was stolen - Kitabu ambacho nilinunua jana kimeibiwa
c. The man that came here is my father - Wmanaume ambaye alikuja hapa jana ni baba yangu.

Test : Tunga sentensi tano kwa kutumia neno That.

Soma:Haya ndio Majina ya Jumla Katika KIingereza.


4.WHOSE : Used to show that something belongs to someone
                     Hii hutumika kuonesha kitu fulani kinamilikiwa na mtu fulani.

Mfano:
a. The boy whose father is a doctor works very hard
    Mvulana ambaye baba yake ni daktari anafanya kazi kwa bidii.
Sentensi hii inaonesha umiliki ,mvulana ambaye ana babayake ambaye anafanya kazi kwa bidii.


5. WHAT : This used in the place of words or things - Hii hutumika kusimamia maneno au vitu

Mfafano;
a. What she have bought is new vision - Kile alichonunua ni toleo jipya
b. What he told us is not true - Kile alichotuambia sisi sio kweli
c. What I like to my son is his intellegence - Kile ninachokipenda kw kijana wangu ni umakini wake

Test : Tunga sentensi 5 kwa kutumia neno "what"

Soma; Why Blaming Others For Your Failure?

Msomaji ili kuelewa zaidi kuhusu relative pronouns soma vitabu vya kiingereza utagundua vitu vingi na kujifunza zaidi.Endelea kutembelea mtandao Learn English Language ili kujifunza zaidi.Kama hujajiunga nasi jiunge sasa ili kupokea mafunzo kwenye email yako.Na kama unapenda kujiunga kwenye kundi last whatsup nitumie namba yako nitakuunganisha,hata kama utashindwa kujaza form zetu nitumie email na jina lako kamili nitakuunganisha.Karibu tujifunze lugha ya kimataifa


 








4 comments: