TODAY'S LESSON PLAN
* Orodha ya aina za majina - Classification of nouns
* Maana ya majina ya kiwaida - Mearning of common nouns
* Mifano ya majina ya kawaida - Examples of common nouns
* Misamiati ya leo - Today's vocabularies
* Zoezi 4 - Exercise 4
* Conclusion - Hitimisho
ORODHA YA AINA ZA MAJINA - CLASSIFICATION OF NOUNS
Kuna aina nane za majina katika lugha ya kiingereza ambazo ni;
- Common nouns - Majina ya kawaida
- Proper nouns - Majina ya kipekee
- Collective nouns -Majina ya jumla
- Concrete nouns - Majina yenye mguso/dhahili
- Abstruct nouns - Majina ya dhahania
- Countable nouns - Majina yenye kuhesabika
- Uncountable nouns - Majina yasiyohesabika
- materia nouns - majina ya mali harisia
COMMON NOUNS - MAJINA YA KAWAIDA
Majina ya kawaida ni majin ya kitu chochote kile isipokuwa majina ya watu..Majina haya hupatikana pote duniani,mara nyingi huanza na herufi ndogo isipokuwa kama litakuwa limetumika mwanzoni mwa sentensi ndipo litaanza kwa herufi kubwa.
common nouns are names of all things of the same class.
Mifano ya majina ya kawaida - Exemples of common nouns
- boy - mvulana
- woman - mwanamke
- dog - mbwa
- education - elimu
- country - nchi
- city - jiji
- town - mji
- doctor - daktari
- teacher - mwalimu
- punishment - adhabu
soma:How Honest is the Key to Get Anything?
Ipo mifano mingi sana ya majina ya kawaida,cha msingi ni kuelewa kwamba common noun ni jina la kitu chochote kile kama tulivyoona hapo juu.
Vocabulary Pronunciation (matamshi) Meaning (maana)
above -abavu -juu ya
abroad -abroad -nchi za nje
abrogate -abrogeit -makubaliano
abrupt -abrapt -gafula,-a kushitukizaabsence - absens -hali ya mtu kutokuwepo s
ZOEZI 4:EXERCISE 4
Make one sentense for each of the following common nouns.
Tengeneza sentensi moja kwa kila moja ya majina ya kawaida yafuatayo.
car,table,wisdom and carelessness.
CONCLUSION :HITIMISHO
Penye nia pana njia,msomaji wa LEARN ENGLISH LANGUAGE napenda kukuambia endelea kuweka jitihada katika kujisomea,usikate tamaa kijua lugha ya kimataifa,amini unaweza,twende pamoja mpaka ufanikiwe ulichodhamilia.Kama una swali usisite kuuliza mwalimu wako niko kwa ajili yako.
Your Tutor
Jenicia John
jeniciaj55@gmail.com
0 comments:
Post a Comment