Hizi Ndio Nyakati (TENSES) Zinazotumika Katika Lugha ya Kiingereza

Published from Blogger Prime Android App 


Ili kujua kuandika, kusoma na kuelewa unachikisoma, kukisikia, au kuandika katika Lugha ya Kiingereza lazima ujue NYAKATI katika Lugha ya Kiingereza.

Sentensi hubadilika kulingana na mabadiliko ya wakati. Mabadiliko hayohusababiswa na kubafilika Kwa Kwa kitenzi (verb) ambacho hubadili maana nzima ya sentensi.

TENSE: Is term used in grammar to indicate the time of action ( verb) or event.

Njeo Za nyakati ni neno la kisarufi linaloonesha mda  wa kitendo au tukio.

Aina Za Nyakati : Kinds of Tense

Katika Lugha ya Kiingereza Nyakati zimegawanyika katika makundi matatu (3)
1. Present Tense : Wakati uliopo
2. Past Tense : Wakati uliopita
3. Future Tense : Wakati ujao

Kila Nyakati imegawanyika katika vipengere vinne, hivyo Kuna aina 12 Za nyakati. Ili kujua kusoma, kuandika na kuongea Lugha ya Kiingereza lazima ujue NYAKATI zote .

PRESENT TENSE : WAKATI ULIOPO
Hii ni wakati kitendo(action verb) Ina fanyika Sasa hivi au huwa kawaida ya kufanyika. 

Mfano: Jua huchomoza na kuzama Kila siku. Mvua hunyesha Kila mwaka,  nyota na mwezi huonekana usiku. Hivyo haya ni matukio na matendo ya siku zote na huwa kawaida hii ni wakati uliopo siku zote.

Kuna kanuni zimewekwa kurahisisha ubadilishaji wa matendo toka mda Fulani kuingia mda mwingine .

1. Matendo yote yaliyomo katika present tense huongezwa "s", "es" au "ies" yanapokuwa yamehusishwa na viwakilishi He, She, it


NB: Kumbuka viwakilishi( pronouns) I, we,they na you ktk present tense kitenzi huwa hakiongezewi kitu chochote.

2. Tendo lenye kuishia na " o" huongezwa ”es" mbele.

Mfano : go - goes
               do - does

3. Tendo lenye kuishia na "y" huongezwa "ies"
Ikitanguliwa na irabu. 

Mfano: cry
 He cries daily :  he hulia Kila siku
She cries daily : she hulia Kila siku

4. Kuna matendo mengine huongezwa "s" TU
Mfano.
He sings
She plays

5. Kumbuka Kuna viwakilishi  I,we they, you, verb ( kitenzi) hakiongezewi kitu chochote 
Mfano.
I go
They come
We play
You Cook

ITAENDELEA.........

Kama ulikuwa huja subscribe kwenye mtandao wetu fanya Sasa Ili uweze kupokea mafunzo ya  Lugha ya Kiingereza kwenye email Yako. Na kama huhajiunga na group letu la what's up nitumie sms andika KUJIUNGA LEL nitakuweka kwenye group la mafunzo .

Your Tutor
Madam Jenicia
0654221000
jeniciaj55@gmail.com













Hii Ndio Njia Nzuri Ya Kujifunza Maneno Mengi Mapya Ya Kiingereza






Published from Blogger Prime Android App


Msomaji wa Learn English Language ( LEL ) karibu katika SoMo letu la Leo ambapo tutajifunza njia nzuri na ya uhakika itakayo kusaidia kujua maneno mengi ya Kiingereza.

ANTONYM is the word which has an  opposite meaning.

ANTONYM ni neno ambalo lina kinyume chake.

Kwa Lugha rahisi tunaweza kusema antonym ni kinyume Cha neno. Hivyo basi antonym ni Moja ya njia nzuri ambayo itakusaidia kujua misamiati na maana ya maneno mengi ya Kiingereza. Hii Ndio tutajifunza Leo.

Yafuatayo ni maneno machache, antonym yake na maana zake :

Neno : Awake (amka )
Antonym : asleep ( lala )

Neno : Attract (vutia )
Antonym : repel (fukuza )

Neno : Above  ( juu )
Antonym : below ( chini )

Neno : affirm ( thibitisha )
Antonym : Denny (kanusha/kataa )

Neno : assent ( kubali/ Kiri )
Antonym : dessert (kukata/ kaidi/mfarakano )

Neno : Ancestors ( watu wa kale/ mizimu)
Antonym : descendants (watu wa Sasa )

Neno : advance ( endelea mbele )
Antonym : retreat ( ludi nyuma )

Neno : allow ( ruhusu )
Antonym : forbidden ( kataza / piga marufuku )

Neno : ancient ( ya kizamani )
Antonym : modern ( ya kisasa )

Neno : arrive ( kuwasili )
Antonym : depart ( kuondoka )

Neno : ascent ( paa, kwea )
Antonym :descent ( mtelemko, shuka Kwa Kasi)

Hii ni baadhi ya mifano ya antonyms, lakini ziko nyingi Sana. Ukizifuatilia utapata kuelewa maneno mengi ya Kiingereza.

Kama ulikuwa hujajiunga na group la mafunzo unaweza kujiunga Sasa nitumie namba Yako ya Whatsapp, namba Iko hapa chini. Kwenye group unaweza kuuliza maswali ili Kujifunza zaidi.

Your Tutor
Madam JENICIA
255(0)654221000
Email : jeniciaj55@gmail.com