Msomaji karibu sana katika kipindi cha leo nimekuwekea video inayoonesha namna unavyoweza kujitambulisha ukikutana na mtu kwa mara ya kwanza . Utajifunza namna ya kutamka maneno na kuyaludia ili ujue namna yanavyotamkwa .Karibu sana
Pete : Hi,Are you Anna?
Habari,wewe ni Anna?
Anna : Yes,Hi there,Are you Pete?
Ndio ,Habari wewe ni Pete?
Pete : I am Pete
Mimi ni Pete
Anna : Nice to meet you
Nafurahi kukutana na wewe.