Ili kujua kuandika, kusoma na kuelewa unachikisoma, kukisikia, au kuandika katika Lugha ya Kiingereza lazima ujue NYAKATI katika Lugha ya Kiingereza.
Sentensi hubadilika kulingana na mabadiliko ya wakati. Mabadiliko hayohusababiswa na kubafilika Kwa Kwa kitenzi (verb) ambacho hubadili maana nzima ya sentensi.
TENSE: Is term used in grammar to indicate the time of action ( verb) or event.
Njeo Za nyakati ni neno la kisarufi linaloonesha mda wa kitendo au tukio.
Aina Za Nyakati : Kinds of Tense
Katika Lugha ya Kiingereza Nyakati zimegawanyika katika makundi matatu (3)
1. Present Tense : Wakati uliopo
2. Past Tense : Wakati uliopita
3. Future Tense : Wakati ujao
Kila Nyakati imegawanyika katika vipengere vinne, hivyo Kuna aina 12 Za nyakati. Ili kujua kusoma, kuandika na kuongea Lugha ya Kiingereza lazima ujue NYAKATI zote .
PRESENT TENSE : WAKATI ULIOPO
Hii ni wakati kitendo(action verb) Ina fanyika Sasa hivi au huwa kawaida ya kufanyika.
Mfano: Jua huchomoza na kuzama Kila siku. Mvua hunyesha Kila mwaka, nyota na mwezi huonekana usiku. Hivyo haya ni matukio na matendo ya siku zote na huwa kawaida hii ni wakati uliopo siku zote.
Kuna kanuni zimewekwa kurahisisha ubadilishaji wa matendo toka mda Fulani kuingia mda mwingine .
1. Matendo yote yaliyomo katika present tense huongezwa "s", "es" au "ies" yanapokuwa yamehusishwa na viwakilishi He, She, it
NB: Kumbuka viwakilishi( pronouns) I, we,they na you ktk present tense kitenzi huwa hakiongezewi kitu chochote.
2. Tendo lenye kuishia na " o" huongezwa ”es" mbele.
Mfano : go - goes
do - does
3. Tendo lenye kuishia na "y" huongezwa "ies"
Ikitanguliwa na irabu.
Mfano: cry
He cries daily : he hulia Kila siku
She cries daily : she hulia Kila siku
4. Kuna matendo mengine huongezwa "s" TU
Mfano.
He sings
She plays
5. Kumbuka Kuna viwakilishi I,we they, you, verb ( kitenzi) hakiongezewi kitu chochote
Mfano.
I go
They come
We play
You Cook
ITAENDELEA.........
Kama ulikuwa huja subscribe kwenye mtandao wetu fanya Sasa Ili uweze kupokea mafunzo ya Lugha ya Kiingereza kwenye email Yako. Na kama huhajiunga na group letu la what's up nitumie sms andika KUJIUNGA LEL nitakuweka kwenye group la mafunzo .
Your Tutor
Madam Jenicia
0654221000
jeniciaj55@gmail.com