Hii Ndio Njia Nzuri Ya Kujifunza Maneno Mengi Mapya Ya Kiingereza






Published from Blogger Prime Android App


Msomaji wa Learn English Language ( LEL ) karibu katika SoMo letu la Leo ambapo tutajifunza njia nzuri na ya uhakika itakayo kusaidia kujua maneno mengi ya Kiingereza.

ANTONYM is the word which has an  opposite meaning.

ANTONYM ni neno ambalo lina kinyume chake.

Kwa Lugha rahisi tunaweza kusema antonym ni kinyume Cha neno. Hivyo basi antonym ni Moja ya njia nzuri ambayo itakusaidia kujua misamiati na maana ya maneno mengi ya Kiingereza. Hii Ndio tutajifunza Leo.

Yafuatayo ni maneno machache, antonym yake na maana zake :

Neno : Awake (amka )
Antonym : asleep ( lala )

Neno : Attract (vutia )
Antonym : repel (fukuza )

Neno : Above  ( juu )
Antonym : below ( chini )

Neno : affirm ( thibitisha )
Antonym : Denny (kanusha/kataa )

Neno : assent ( kubali/ Kiri )
Antonym : dessert (kukata/ kaidi/mfarakano )

Neno : Ancestors ( watu wa kale/ mizimu)
Antonym : descendants (watu wa Sasa )

Neno : advance ( endelea mbele )
Antonym : retreat ( ludi nyuma )

Neno : allow ( ruhusu )
Antonym : forbidden ( kataza / piga marufuku )

Neno : ancient ( ya kizamani )
Antonym : modern ( ya kisasa )

Neno : arrive ( kuwasili )
Antonym : depart ( kuondoka )

Neno : ascent ( paa, kwea )
Antonym :descent ( mtelemko, shuka Kwa Kasi)

Hii ni baadhi ya mifano ya antonyms, lakini ziko nyingi Sana. Ukizifuatilia utapata kuelewa maneno mengi ya Kiingereza.

Kama ulikuwa hujajiunga na group la mafunzo unaweza kujiunga Sasa nitumie namba Yako ya Whatsapp, namba Iko hapa chini. Kwenye group unaweza kuuliza maswali ili Kujifunza zaidi.

Your Tutor
Madam JENICIA
255(0)654221000
Email : jeniciaj55@gmail.com




0 comments:

Post a Comment