Elimu haina mwisho,karibu katika mtandao wetu wa Learn English Language tuendelee kujifunza lugha ya kimataifa. Unaweza usione umhimu wa kujifunza Lugha hii lakini siku moja utakuja kugundua upo umhimu wa kujifunza lugha ya kiingereza.
Kitu cha kufanya kama ulikuwa hujajiunga na mtandao wetu jiunge sasa na kama tayari umeshajiunga nitumia namba yako ya simu kupitia namba 0654221000 ili nikuunge kwenye group la mafunzo ya kila siku, maswali na majibu.
karibu tujifunze lugha ya kiimataifa.
Madam Jenicia
0654221000
0 comments:
Post a Comment