KARIBU TUJIFUNZE PAMOJA.
English Language ni lugha ya kimataifa ambayo inatumika katika maisha yetu ya kila siku.Dunia inabadilika na kila kitu kinabadilika hivyo basi ni vyema na sisi tukaendana na hayo mabadiliko ya sayansi na tekinolojia.Lugha ya kiingereza inaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa watu wakaishi maisha mazuri kabisa.Hii ni kwa sababu lugha hii inatumika kazini,shuleni na hata kwenye biashara zetu,kama mtu anaelewa kuandika,kusoma na kuongea kiingereza itamsaidia sana katika shughuli za kila siku.
kama unapenda kujifunza lugha ya kiingereza karibu tujifunze pamoja
JENICIA JOHN
jeniciaj55@gmail.com
0654 221 000
0 comments:
Post a Comment