Hizi Ndio Aina za Vitenzi - Kinds Of Verbs




Msomaji wa LEL karibu kwenye kipindi chetu cha leo ambacho tutajifunza aina za vitenzi.
Katika lugha ya kiingereza kuna aina kuu mbili za vitenzi
There are basically two main kinds of verb .
  1. Main Verb - Kitenzi Kikuu
  2. Auxiliary Verb - Kitenzi Kisaidizi
  1. Main Verb (Kitenzi Kikuu )
Kitenzi kikuu ni neno linaloweza kusimama peke yake na kuleta maana kamili.
Main verb is the word which can stand on it`s own to deriver and convey a complete meaning

Kitenzi kikuu kimegawanyika katika makund makuu mawili kama ifuatavyo :
Main verb is devided into two main parts as following :

(a) Regular Verbs
Hivi ni vitenzi vinavyoweza kutokea katika makundi manne tofauti
These are verbs which can appear into four different forms


  1. The base form : Ya kawaida
Kwenye base form verb hubaki katika uharisia wake bila  kuongezwa kitu chochote.

Mfano
walk - tembea
go - nenda
drink - kunywa
dance - cheza

2. The -ing form
Hii ni pale verb (kitenzi) kinapokuwa  kimeongezwa -ing mwishoni.

Mfano :
go - going
walk - walking
drink - drinking
dance - dancing


3.The -"s" form
Hapa kitenzi kinaongezwa "s" mwishoni
This is when the verb is added "s" at the end."Verb + s"
Mfano:
walk - walks
drink - drinks
dance - dances

4.The "-ed "form
Hapa ni pale kitenzi kinakuwa kimeongezwa "ed" mwishoni
This is when the verb is added "ed" at the end

Mfano:
walk - walked
play - played
dance - danced

Msomaji wa LEL hivyo ndio vipengere muhimu vinavyounda regular verbs.Katika kipindi kinachofuta tutajifunza zaidi kuhusu Irregular Verb.Na kama hujajiunga na mtandao huu jiunge sasa ili kupata mafunzo haya  ya lugha ya kimataifa kwenye email yako.
Karibu tujifunze pamoja

Your Tutor
Jenicia John
jeniciaj55@gmail.com
0654221000

0 comments:

Post a Comment