Jifunze lugha ya kimataifa uendane na maisha ya ulimwengu wa leo.Msomaji wa LEARN ENGLISH LANGUAGE karibu katika somo letu la leo ambapo tutaendelea kujifunza sarufi ya kiingereza(Grammar).Bado tunachambua aina za majina (nouns) na leo tutajifunza zaidi kuhusu abstract nouns.
ABSTRACT NOUNS - NOMINO / MAJINA DHAHANIA
Abstract nouns ni majina ya vitu visivyoonekanana huwa ni vitu vyakufikilika tu
Abstract nouns are names of quality,action or state that qualify ideas or state of mind.
Sifa za abstract nouns - Characteristics of abstract nouns
- They are not physical things - hayana maumbo ya kuonekana
- They can not be seen - havionekane kwa macho
- They can not be heard - havisikiki
- They can not be smelt - havina harufu
- They can not be touched - havishikiki / huwezi kuvishika
- kindness - wema
- education - elimu
- skills - ujuzi
- love - upendo
- dearth - kifo
- truth - ukweli
- justice - haki
- freedom - uhuru
- growth - ukuaji
- liberty - uhuru
- ability - uwezo
- sadness - huzuni
- cruelty - ukatiri
- joy - furaha
- obedience - utii
- life - maisha
Haya ni baadhi ya majina ya kufikilika - these are few names of abstract nouns.
Hivyo endelea kujisomea zaidi utajua majina mengi sana ya dhahania (abstract nouns) Na hayo hapo juu kwenye jedwari jitahidi kutafuta maana ya kila neo ili kuongeza misamiati kichwani kwako,unaweza kupata maazake kwenye dictionary au unaweza kugoogle.
TODAY'S VOCABULARIES - MISAMIATI YA LEO
Vocabulary/mamiati Pronunciation/matamshi Meaning/maana
attrition -atrishen - mvutano wa kimawazo
apath - apas - kutojali
deception - disepshen - udanganyifu
guess - ges - dhania
sort -sot - aina
Msomaji wa LEARN ENGLISH LANGUAGE somo letu la leo limefikia ukingoni,endelea kujifuza lugha ya kimataifa kwa kujiunga na mtanao huu jaza fomu ili kujiunga nasi ili utumiwe mafunzo haya moja kwa moja kwenye email yako.Karibu sana.
Your Tutor
Jenicia John
http://tlearningenglish.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment